Mr. Mohamed Mwilima & Mrs. Saadah Shaban Msangi

Sisi familia ya Qayrah Mohammed Mwilima, tunapenda kutoa pongezi zetu za dhati juu ya maendeleo ya Qayrah,  kiukweli anaendelea vizuri mno na ameweza kujengenga ki fikra na amekuwa na uelewa mkubwa katika nyanja nyingi ikiwa ni pamoja na kujitambua kuwa anahitaji nini na wakati wote amekuwa akitaka maamuzi yake yapewe kipaumbele. Pia amekuwa akipenda sana ku referrer kutoka kwa waalim wake. kwa mfano ukimwambia fanya hivi au hiki ni kitu fulani, atakwambia no mwalim hajasema hivyo.  Hii imenifundisha kuwa kwa Feza International School-Kindergarten mtoto sio wa mzazi peke yake. kwa sasa Qayrah anahitahidi kuweza kusoma pamoja na kuandika kwa kutaja herufi moja moja.

Maendeleo yake ni mapana mno ila kwa haya machache tunapenda kuushukuru uongizi mzima wa KG bila kuacha kuwataja waalimu wake Miss Rose,  Madam Rose na Teacher Belle. Tunasema Ahsanteni sana mungu awabariki sana kwa jitihada hizi kwani sio kazi nyepesi.

Tunawapenda sana na tupo pamoja katika kila hali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *